Kuna maneno mengi yanasema juu ya hilo.Ningependa kupata ufafanuzi wa mambo yafuatayo kuhusiana na maradhi ya NGIRI kwa wanaume.
1.Je,yanaweza sababisha uume kuwa mgogo?
2.Yana madhara gani katika tendo la ndoa mfano kukosa hamu,kuchoka nk.
Inategemea na Ngiri unayo izungumzia, kama ni ile ya Mabusha, jibu lake ni kweli, usababisha uume kuwa mdogo kwa sababu nyama zote zimechuliwa na uvimbe wa kwenye Mak3nde. (Mapumb4). Na pia ukusababishia kutoweza kufanya jimai.
Kuna ngiri ambayo haisababishi mshipa kwa maana ya busha ila inatokea kipindi cha baridi hasa mikoa ya Pwani, hii husababisha hamu ya tendo la ndoa isiwepo pamoja na nguvu za kiume kupungua
Kuna ngiri ambayo haisababishi mshipa kwa maana ya busha ila inatokea kipindi cha baridi hasa mikoa ya Pwani, hii husababisha hamu ya tendo la ndoa isiwepo pamoja na nguvu za kiume kupungua