Je, ni kweli p2 inazuia mimba?

Kwanza, pole mtoa mada! Cha pili huwezi pata mimba kama ulifanya siku ya 2 baada ya kumaliza kubleed(kamwee)!!! Cha tatu naona huku watu wanajazana ujinga kuhusu matumizi na athari za p2,, P2 hazina madhara yoyote kwa baadae kama kizazi chako kipo sawa matumizi yake hayawezi kusababisha badae ushindwe kushika mimba!! Unashauriwa tu usitumie zaidi ya mara 2 in one cycle kwasabab itasababisha kuvurugika kwa mzunguko wako wa kawaida!! Kwahyo wewe nakushauri mwezi huu jaribu kutumia kinga au njia yoyote ya mpango maana cycle yako itavurugika kidogo na unaweza kuchelewa kuona period zako!
 
Sidhan kama p2 inazuia kwa watu wote,mm karibu mara 2 nzima hizo p2 zimeshindwa fanya kaz kabisa

Nilishangaa sn lkn ndo hivo najulishwa mtu ana ujauzito na wote niliwasimamia kunywa dawa hio baada ya mchezo
Vipi kulikua na complications zozote kwa mama au kwa mtoto ?
 
Siku ni salama p2 ya Nini mkuu? 🤣🤣
 
Hawezi kupata mimba kamwe? Yani afanye two days after period af asipate wakati mbegu inakaa five days ikiwa hai inazagaa humo inasubiri yai. So kupata uwezekano upo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…