Simba walikuwa pia na Kichuya....tehtehtehAlikuwepo Ramadhani Leni, akaja Husen Masha,na wengineo na Simba ikawa safi kabisa, usihofu mbadala atapatikana tu kipindi itafika.
Kumbuka kitaalamu lazima kuwepo na mwongozaji wa kudi hii hutokea mahala popote hasa kwenye mchezo ambao unategemea kikundi cha watu, tofauti na Ngumi.
Yanga walikuwa na Makumbi juma homa ya jiji, alipotoka timu haikufa ikasonga. RTC Kagera walikuwa na kipa Kichochi lemba alipo toka mambo yalisonga. Ikifika wakati wake mbadala atapatikana tu mkuu usihofu.
Hayo ni mawazo yako, uhalisia hauko hivyo.Kocha Wetu Wa Simba Abadirike Tuu Ligi Ya Mabingwa Haihitaji Kumchezesha Striker mmoja Kama Anavyo Fanya. Awacheze Wawili
Na Waza Kikosi Cha Sahizi Cha Simba Angekipata UCHEBE sijui Ingekuwaje tungekuwa Tunashinda hata 10
Chama yupi au yule wa Utopolo?Alikuwepo Ramadhani Leni, akaja Husen Masha,na wengineo na Simba ikawa safi kabisa, usihofu mbadala atapatikana tu kipindi itafika.