Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Baba Mwita ameandika kupitia mtandao wa Twitter kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akistaafu hupatiwa mafao kwa kiwango hiki.
Rais wetu anapostaafu atapata mafao yafuatayo:
1. Fedha ya 50% ya mshahara wake WOTE aliowahi kulipwa katika kipindi chote alipokuwa Rais. (mara moja) 2. Pensheni ya kila mwezi sawa na 80% ya mshahara wa Rais aliye madarakani. 3. Diplomatic passport yake na mke/mume wake.
4. Gharama za matibabu ndani na nje ya nchi. 5. Magari mawili pamoja na gharama za matengenezo (hubadilishiwa magari mapya kila baada ya miaka 5)
6. Nyumba yenye furniture isiyopungua vyumba vinne.
7. Pesa ya matengenezo ya nyumba sawa na 80% ya mshahara wa Rais aliye madarakani
9. Mpishi 10. Mtu wa kufua nguo 11. Wasaidizi wengine wanne 12. Dereva wawili 13. Matumizi ya VIP lounge 14. Gharama za mazishi Pia, kama atahitajika kusafiri nje ya nchi, Serikali italipia ticket ya ndege (first class) yake pamoja na mke/mume wake na msaidizi wake.
Pia, Anapotakiwa kusafiri ndani ya nchi, Serikali inagharamia gharama zote pamoja na za dereva wake. Pamoja na mambo mengine ambayo hayapo kwenye sheria.
Credit: Baba Mwita, Twitter