Kanyamulano
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 905
- 872
Uyu jamaa anakaliliMKUU bablon6, jana Ramsey katupia. Vipi leo nani kawahi kiwanja kwa Mungu?
Huyo ni mtu maarufu? Kila siku watu wanakufa.Reporter alikua anaikosoa serikali ya Saud arabia auwawa nchin Instanbul
[emoji19][emoji19][emoji19]Reward!!!
Ni nani aliyeleta huu uzi?Mtu maarufu ni mt gan?
Tukazie hapa kwanza
Umemaanisha nini neno MAARUFU ktk uzi wako?Mim hapa
Ok.Kwamb mt yeyote anafarik na mpaka dunia inajua