Je, ni kweli Refa atakayechezesha mechi ya marudiano ya Al Hilal na Yanga ameahidiwa kisima cha mafuta?

Je, ni kweli Refa atakayechezesha mechi ya marudiano ya Al Hilal na Yanga ameahidiwa kisima cha mafuta?

Yaani uto bila aibu wala kupepesa macho wanaongea hadharani kutumia "mlungula" kwenye harakati za kufuzu hatua ya makundi! Hawana aibu kucheka huku wanajua kabisa kuwa wamejitekenya wenyewe!!
 
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii, tetesi zinasema refa wa mchezo wa marudiano baina ya Al Hilal na Yanga ameahidiwa kisima cha mafuta endapo atachezesha kwa haki gemu hiyo.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Hakuna msiba wa kiafrika usiokuwa na sababu hata kama ni natural death [emoji3517] sasa sembuse kifo cha ghafla. Asanteni kwa kujiandalia matanga kabla ya msiba
 
Refarii kutoka Ethiopia atakayechezesha mchezo kati ya Yanga na Mwarabu.
Screenshot_20221010-203150.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Back
Top Bottom