Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Hakuna msiba wa kiafrika usiokuwa na sababu hata kama ni natural death [emoji3517] sasa sembuse kifo cha ghafla. Asanteni kwa kujiandalia matanga kabla ya msibaNimeona kwenye mitandao ya kijamii, tetesi zinasema refa wa mchezo wa marudiano baina ya Al Hilal na Yanga ameahidiwa kisima cha mafuta endapo atachezesha kwa haki gemu hiyo.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Ni kweli. Na nyinyi mnanafasi ya kumuahidi refa kontena la magodoro ya GSMNimeona kwenye mitandao ya kijamii, tetesi zinasema refa wa mchezo wa marudiano baina ya Al Hilal na Yanga ameahidiwa kisima cha mafuta endapo atachezesha kwa haki gemu hiyo.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Micknjnr anawasiliba kisenge yanga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Refarii kutoka Ethiopia atakayechezesha mchezo kati ya Yanga na Mwarabu.
View attachment 2382921