Je ni kweli ROMAN IBRAHIMOVIC ANATAKA KUTWAA URAIS WA URUSI?

Joined
Oct 26, 2021
Posts
99
Reaction score
294
Baada ya sintofahamu ya siku chache katika umiliki wa mali zote ambazo zinamilikiwa na tajiri wa Kirusi zilizo nje ya Urusi, tajiri huyu aliamua kwanza kujiweka pembeni kabla ya jana kutangaza kuuza timu iyo ambayo alinunua mnamo mwaka 2003. Mpaka sasa ni matajiri kutoka uswizi ambao wameoneshq nia ya kuinunua klabu iyo. Inauzwa kwa pesa taslimu za kitanzania trilioni 7.1

Katika kipindi chote cha umiliki wake boss huyu wa kirusi alifanikiwa kutwaa mataji 23 uku akiwafukuza makocha 19 walioshindwa kuiongoza timu yake kwa mafanikio. Ata wale walioongoza kwa mafanikio makubwa nao waliondoshwa na boss huyu wa kirusi.

Ni ukweli husiopingika kwa misimu ambayo Roman ameiongoza klabu ya Chelsea hakuna timu zaidi ya Manchester United ambayo imetwaa mataji mengi kuliko Chelsea. Haya ni mafanikio, ukiachana na mauzo ya wachezaji, Gate collection, Mauzo ya jezi, biashara mbalimbali za klabu.

Katika kuliangalia ili upande wa pili bwana Roman sasa anauza timu yake na hatachukua kiasi chochote cha pesa bali pesa zote zitaenda kwa wahanga wa vita (UKRAINE) inayoendelea iliyosababishwa na rafiki yake wa karibu na raisi wa Urusi bwani VLADIMIR PUTIN.

Hii inamanisha nini katika nyanja za siasa? PUTIN kaingia madarakani 2012 mpaka sasa. Katika harakati za kuwa rais nguvu kubwa ya ushawishi ilichangiwa na tajiri huyu wa kirusi bwana Roman. Na Roman amritwa na rafiki ya PUTIN katika kutafuta suluhishi ya amani. Na bwama Roman amekubali wito huu.

Kwa upande wa pili kitendo cha kuachia klabu kuuzwa na kupeleka ela iyo kwa wahanga ni kutengeneza mazingira mazuri na kujisafisha katika kuona kama atakuwa rais wa Urusi.
 
Putin ana kinga wanataka wampe uraisi mpaka 2033 bado wanajadili kupitisha sheria iyo

Kingine usisani warusi wanachukua icho na wengi haswa wanaojitambua wanamuunga mkono kwa manufaaa ya taifa lao
 
Roman si kwamba anautaka uraisi, ila anajua kuna maisha baada ya vita, pia anajua yeye ni target ya sanctions, hivyo hata angeuza timu bado asingeweza pokea fedha hizo.

Mbaya zaidi pamoja na uwekezaji wake wote huo, toka 2018 UK walikataa renew visa yake, ikambidi atumie passport ya Israel ili aweze kuwa kuingia UK.

Chelsea kwa sasa si kitu kwake, wakati wanataka iuza Chelsea kwa Tsh 7.1trilion, yeye anaidai Chelsea almost 4.5trilion ambazo amesamehe pia.

All in all, jamaa hawezi kuwa rais wa Russia kwa sasa.
Putin ameanza uraisi 2000-2008, hapo katikati akaingia Medvedev 2008-2012, the Putin tena 2012 - todate.

Russia ni kama Rwanda ilivyo, nchi inaendeshwa na mtu mmoja hakuna mtu wa kukohoa, na namna hawa watu walivyojijenga, wakiondoka wao lazima nchi iyumbe kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…