Je ni kweli samaki sato ukiwafuga vizuri wanaweza kufikia kg 1 kwa muda wa miezi 6?mwenye uhakika anithibitishie hili mimi ndo nimeanza kufuga zina mwezi mmoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.