Je, ni kweli Serengeti Lite na Castle Lite hazileweshi?

Shinnok

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
236
Reaction score
564
Nasikia castle lite na serengeti lite hazileweshi na ukilewa ukilala dakika 15 tu pombe yote imeisha ani hamna hengova.
 
Pombe za kike hizo.
Sehemu za baridi hata hazikai kichwani hizo, zinamaliza sana pesa.
 
hizo ni kama pepsi max au coca zero zilizochangamka
 
Si ukanywe afu ulale hizo dak 15 ucheki
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwenye swala la kumaliza pesa naona ni kweli

Kuna siku nilivikata kama 40 hivi na wala sijaona hata shida, mpaka nikawa najishangaa,, hivi pombe yote hii inaingia wapi
Hivyo vipombe sio kabisa, ukikojoa tu vinaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…