Wasikuchanganye kwakuwa serikali ni watu na hao watu wana dini zaoHuwa sielewi huu msemo kwamba serikali haina dini.
1. Kwenye ufunguzi wa vikao vya bunge kuna dua ya kumuomba Mungu
2. Kwenye viapo vya teuzi za viongozi wa serikali humuomba Mwenyezi Mungu awasaidie kutimiza viapo vyao
3. Wimbo wa taifa unamuomba Mungu kulibariki taifa
Au kusema serikali haina dini ni tofauti na kusema serikali haiamini uwepo wa Mungu???!!
Na ndio maana wana apa na msahafu au bibliaWasikuchanganye kwakuwa serikali ni watu na hao watu wana dini zao
Huo ni utashi wa mtu na sio serikali yetu na imetoa uhuru wa kuabudu hivyo wao hata wakikuita uwaombee sioni kama ni tatizo maana ktk namna Moja au nyengine watu mmoja mmoja wanaimani zao tofauti na Kuna kitu kinaitwa taifa ambalo limeunga hizo Imani zote so wakiegemea upande fulani huko watachana bendera.Inaamini kuwa kuna Mungu.
Inaamini uwepo wa Mungu huwa kinachofanyika ni hawataki kuweka matabaka Kati ya nchi na wananchi wenyewe nafikiri umenielewaHuwa sielewi huu msemo kwamba serikali haina dini.
1. Kwenye Ufunguzi wa Vikao vya Bunge kuna dua ya kumuomba Mungu.
2. Kwenye Viapo vya Teuzi za Viongozi wa Serikali humuomba Mwenyezi Mungu awasaidie kutimiza viapo vyao.
3. Wimbo wa Taifa unamuomba Mungu kulibariki taifa.
Au kusema Serikali haina dini ni tofauti na kusema Serikali haiamini uwepo wa Mungu?!
Asante. Hapa naona kam kuna changa la macho!Wasikuchanganye kwakuwa serikali ni watu na hao watu wana dini zao
Ni huku kwetu tuSerikali haina dini, ila watu wake wana dini.. na haiwezekani tenganisha serikali na watu wake... π΅βπ«π΅βπ«
Unamaanisha Gregorian Calender?Maana hata waislamu na Hindus wana kalenda zao.Huu ni mwaka 2023. Miaka zaidi ya 2000 tangu yesu afufuke na kupaa. Hivyo jibu unalo serikali ni wakristo.
kwa wenzetu je ?Ni huku kwetu tu
Mfano uchina hawana upuuzi huu wetu, dini kule na serikali kulekwa wenzetu je ?
Makes sense!Serikali ina dini, mpaka dini za kijadi ni zake. Wachungaji, masheikh, mapadri na waganga wa kienyeji ni watumishi wa serikali typically. Kama unabisha waguse uone moto wake
Mambo ya kishirikinaInaamini kuwa kuna Mungu.