shinji
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 257
- 174
Heshima kwenu,
Serikali ya awamu ya sita ilitangaza kufuta ada kwa kidato cha 5 na sita kwa shule za serikali ambayo ilikuwa ni shilingi 70,000/=.
Nimepitia fomu za kujiunga na kidato cha 5 mwaka huu 2023. Kuna mchango mpya umeanzishwa unaoitwa mchango wa uendeshaji wa shule kiasi cha shilingi 65,000/=. Hii ni sawa na kisema serikali haijafuta ada bali imeondoa shilingi 5,000/= tu kwa kila mwanafunzi.
Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hili unalitambua? Waheshimiwa mawaziri wa Elimu na TAMISEMI hili lina baraka zenu?
Semeni ukweli kwa Watanzania.