Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Wakati tunaingia mwaka 2022 Serikali ilipunguza mzigo kwà kiasi kikubwa sana wa bodi ya mikopo kwà wanufaika mfano kama mtu alibakiza 4M bàsi deni lilishuka mpaka 2M watu wakapata afueni sana ya maisha na wengi wao kwakuwa walipitia Kwenye tanuru la moto 2015-2020 baada tu ya mama kuondoka retention fees wakienda kukopa bank na kurekebisha maisha yao yaliyopondwapondwa kwà miaka mitano.
Sasa kuna wanaodai retention fees inarudishwa ama imerudishwa na serikali !
SASA swali je ni Kweli? Na kama ni Kweli itawahusu watu gani?
1.New applicants.?
2.Employed ambao wamemaliza deni?
3. Employed ambao hawajamaliza deni?
4. Wote hapo juu including na ambao hawapo Kwenye ajira kwasasa?
Aione mpwayungu village kwà ufafanuzi.