barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Asante sana kwa maelezo simple and clear!Si kweli. Sheria ya Ndoa ina dhanio la ndoa ambalo kati ya sifa zake ni wawili hao kuishi miaka miwili na kuendelea. Dhanio la ndoa hutumika pale ambapo kuna mgogoro kati ya wawili hao na lengo ni kumpatia chochote kitu mwanamke. Dhanio hili huthibitishwa kimahakama na hutumika kimahakama tu.
Mkuu,naitwa Petro na si petrol. Ha ha ha ha haAlichokujibu petrol ndo sahihi..watu wengi nmesikia wakisema ni miezi sita ni miaka 2 mara nyingi inakua appricable mahakamani kwenye mashauri ya devorce....
Mkuu,naitwa Petro na si petrol. Ha ha ha ha ha
Hiyo ni Simu imeandika hajakuwa na Nia ya kukuita petrol, utaingia tank gani na uende wapi muheza? Ha ha ha!Mkuu,naitwa Petro na si petrol. Ha ha ha ha ha
I understand. Mambo ya touch!Hiyo ni Simu imeandika hajakuwa na Nia ya kukuita petrol, utaingia tank gani na uende wapi muheza? Ha ha ha!
Ha ha ha sorry umesema petrol badala ya petro nimepata kichekoAlichokujibu petrol ndo sahihi..watu wengi nmesikia wakisema ni miezi sita ni miaka 2 mara nyingi inakua appricable mahakamani kwenye mashauri ya devorce....
smartphone zinajiamri zenyewe...Ha ha ha sorry umesema petrol badala ya petro nimepata kicheko
pole mkuusmartphone zinajiamri zenyewe...