Je, ni kweli sheria ya Tanzania haiamini uchawi?

Habari?
Si kweli kwamba sheria haziamini uchawi. Ndio maana tuna sheria ya Uchawi (The Witchcraft Act) Sura ya 18 ya Sheria Za Tanzania zilizofanyiwa mapitio mwaka 2002.

Sheria hii ni very old. 1928. Sheria inatoa azabu kwa mtu kumdhuru mwingine kwa kutumia uchawi, kutishia kutumia uchawi, kuzua taaruki na kadhalika.

Usimamizi wa sheria hii uko chini ya mkuu wa wilaya husika.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…