Je ni kweli Simba sc bajeti yao ya msimu ujao ni bilioni 24 au walizungumza tu baada ya kuona watani zao Yanga sc kusema bajeti yao ni bilioni 20??

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Waswahili wanasema "ukimuiga tembo kunya Basi utapasuka msamba'

Nawasilisha swali langu hapo juu.
 
Hata tangazo lao la jezi limekuja siku kadhaa baada ya kuona YANGA wametangaza kuwa jezi zipo tayari.

Mbumbumbu Maandazi Fc hawana akili wanawachezea mashabik wao maandazi
 
Hata tangazo lao la jezi limekuja siku kadhaa baada ya kuona YANGA wametangaza kuwa jezi zipo tayari...
Mbumbumbu Maandazi Fc hawana akili wanawachezea mashabik wao maandazi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…