lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Jamani hivi kweli kuwa wanamziki au wacheza filamu hawawezi kutoka bila ya kupata au kutengeneza skendo yoyote ili kuweza kufahamika kwa haraka? Inasemekana kuwa skendo ndio kiki kubwa zinazowatoa wasanii wetu.
Ushahidi upo wazi tumewaona na tunaendelea kuwaona wasanii wetu wakipata skendo wengine wanazitengeneza wao wenyewe,kuna baadhi wametoka na maskendo ya kuchukua waume za watu, kuchukua wake za watu,kupiga picha za utupu,nk.
Hizi wanazitumia kama kiki za kutokea na kujulikana zaidi,je kwa nini wanatumia maskendo kuwatoa? unadhani kwa nini je hawawezi kutumia uwezo wao? Anayejua atujulishe kwa kina.