lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Hivi unajua maana ya news alert?
kwani unahusika katika hii mada au?
doesn't matter nahusika au sihusiki, lakini katika kukuweka sawa tu, news alert inatumika katika kuleta habari ambazo ni mpya / zimeingia hivi punde / habari ambazo watu wengi hazijawafikia au unaweza kusema breaking news. Ukitaka kujua ndio uzingatie, kama unataka tu kubishana endelea.
nimekupata
Haaaa umejibuje kwa upole... ningekua mimi full kubishaba.. Hongera kwa kuwa muelewa
haaaa umejibuje kwa upole... Ningekua mimi full kubishaba.. Hongera kwa kuwa muelewa
kwa sababu nimeona jamaa hana point ndio maana sikutaka kutoka jasho bure
Haaaa hana point mmhh