Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Hiki ni kitu ambacho kinaniumiza kichwa kufahamu kwakuwa hakuna taarifa maalumu ya kwamba Tamisemi hawatahusika na hizi ajira za Ualimu
Hili linatia mashaka baada ya siku za nyuma kutangazwa ajira za Ualimu kupitia sekretarieti ya ajira na utumishi wa umma na ikahitajika waalimu kujisajili katika mfumo wa ajira portal ili kupata nafasi ya kuomba kazi hizo kitu ambacho ni kigeni na kipya katika ajira za Ualimu kwani tulizoea kuona hizi ajira zikitangazwa na Tamisemi na kwa mfumo wao wa OTEAS ambao tulikuwa tunatuma kwenye shule sio kwenye mkoa
Je, mifumo ndo imebadilika au ni vipi?