Alfred_station_A
New Member
- Dec 15, 2018
- 3
- 1
Habarini ndugu
Naomba nifikishe hili suala maana nina wasiwasi sana na Ajira yangu mpaka sasa kwasababu nilisubiri sana mpaka kuipata.
Siku ya Jumamosi tarehe 19 Dec nilipokea simu kutoka kwa Afisa Ajira wilaya ya Tandahimba (kwa mujibu alivojitambulisha), akisema kua Ajira yangu imesitishwa kwakua mimi nina ngazi ya Diploma ( postgraduate).
Nimeisha fanya taratibu zote za ku ripoti katika shule niliopangiwa nimejaza kila kitu na form zote na kufuata maelekezo yote tangu tarehe 7 Desemba.
Naomba kufahamu kuhusu ukweli wa Taarifa hii nduu zangu kwani nachanganyikiwa. Asante