Alfred_station_A
New Member
- Dec 15, 2018
- 3
- 1
Habarini ndugu
Naomba nifikishe hili swala maana nina wasiwasi sana na Ajira yangu mpaka sasa kwasababu nilisubiri sana mpaka kuipata.
Siku ya Jumamosi tarehe 19 Dec nilipokea simu kutoka kwa Afisa Ajira wilaya ya Tandahimba (kwa mujibu alivojitambulisha), akisema kua Ajira yangu imesitishwa kwakua mimi nina ngazi ya Diploma ( postgraduate).
Nimeisha fanya taratibu zote za ku ripoti katika shule niliopangiwa nimejaza kila kitu na form zote na kufuata maelekezo yote tangu tarehe 7 Desemba.
Naomba kufahamu kuhusu ukweli wa Taarifa hii nduu zangu kwani nachanganyikiwa. Asante
Hapana mkuu, dada yangu ndiyo kasomea ualimu ss alipata hii taarifa jumamosi ameniomba nimuulizie kama ni taarifa ya kweli au la!!Umesomea ualimu...?
Tuanzie hapo kwanza....
Afisa ajira ndo nani?Habarini ndugu
Naomba nifikishe hili suala maana nina wasiwasi sana na Ajira yangu mpaka sasa kwasababu nilisubiri sana mpaka kuipata.
Siku ya Jumamosi tarehe 19 Dec nilipokea simu kutoka kwa Afisa Ajira wilaya ya Tandahimba (kwa mujibu alivojitambulisha), akisema kua Ajira yangu imesitishwa kwakua mimi nina ngazi ya Diploma ( postgraduate).
Nimeisha fanya taratibu zote za ku ripoti katika shule niliopangiwa nimejaza kila kitu na form zote na kufuata maelekezo yote tangu tarehe 7 Desemba.
Naomba kufahamu kuhusu ukweli wa Taarifa hii nduu zangu kwani nachanganyikiwa. Asante
Mkuu ni kipi unaongelea? Diploma in secondary education, diploma in primary,diploma in nursery au post graduate diploma,maana bandiko lako lina diploma lakini maudhui yanaeleza habari za post graduate diploma
Hebu weka mambo sawa ili wadau wakusaidie mkuu
[emoji28]Naona kwa uelewa wake anadhani Diploma ni Kiswahili ila Kiingereza chake ni Postgraduate, ni kama kule Kigoma unamsikia mtu nimemaliza chuo nina Stahashada na Diploma au nina Astahashada na Certificate