Hata miradi ya batabara za mitaa Dar hususani Temeke kiwango cha rami/zege zinasua sua, wanachodanganya toto ni kupitisha greda na kutimua vumbi ndio imetoka hiyo. Mbunge wa Mbagala Chaurembo aliwaambia baadhi ya mitaa itamaliziwa kuwekewa zege kuanzia April 2024, Wakaweka na mabango ya miradi kando ya hizo barabara.
Mpaka leo hora! juzi likapita greda likatimua vumbi likasepa. Tunakusubiri 2025 mbunge weye. Nilimtuma mwenyekiti wa mtaa akuletee taarifa ya ahadi yako sijui kakuletea