News providers wengi wana website na hizo platforms zingine ni za kuongeza wigo wa utoaji habari.
Hizi platforms kama Youtube ni kwa zile trending news ndo maana husema Follow us on IG, YouTube na X
Lakini website hubaki palepale.
Au wakuu?
Kama ameshindwa aweza kuiendesha kwa ubia au kuiuza.