February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,204
- 3,060
Nimecheka kifalaAkili zenyewe za kudumazwa unazo Basi?! [emoji28][emoji1535]
yaani hapa nakula zangu ugali na kinyama changu na kachumbari pembeni, na nyie mnaniletea habari za kudumaza sijui akili, kwa utamu ninaupata hapa hizo akili zidumae tu kwanza sina kazi nazo...!
Kwenye ugali tunatafuta wanga,hiyo protein ni kazi ya maharage,nyama,dagaa Na vingine. Kama ambavyo ukila wali au viazi unapata wanga tu.Zaidi ya tatizo la phytates, ugali hauna virutubisho.
Umejaa starch mostly. Wanga. Unatupa energy tu isiyo na virutubisho.
Especially ugali wa mahindi yaliyokobolewa.
Protein karibu yote tunaitupa kwa kukoboa mahindi.
Ugali wenye protein ni wa dona. Wa mahindi ambayo hayajakobolewa.
Na huu watu wengi hawaupendi.
Mambo vipi wakuu!
Bila shaka mtakubaliana nami kuwa ugali ni chakula kikuu katika jamii nyingi barani Africa ingawa Marekani ndio inaongoza kwa kulima mahindi duniani lakin rekodi zinaonyesha ni kwa matumizi ya mifugo.Africa ndipo sehemu mahindi yatumika sana na mara nyingi mfululizo kwenye milo yote..Ni kweli kuna baadhi ya wanaume wanaamini kabisa ugali ni chakula pekee anachoweza shiba na kutosheka.
Kumekuwapo na fununua za muda mrefu na lawama nyingi zikielekezwa kwa UGALI kuwa ndio kisababishi cha waafrika kuwa matatizo mpaka leo. Wapinzani hao wa UGALI wanatodokeza kuwa kwenye ugali kuna chembechembe adui kwa ubongo wa mwanadamu hasa ile inaitwa Phytate ambayo inazuia zink, iron n.k. kuchukuliwa kutoka tumboni.
Kwa upande wa mwingine wapo wanadai hayo ni mashambulizi hatari na matokeo yake yatakuwa mabaya sana...
Je, ni kweli ugali unadumaza ubongo?
View attachment 1657689
Teff splet ni nn kwa kiswCorn au mahindi ni starch , rais wa kwanz wa marekani alitumia starch ya corn kuextract plastic,.
Mahindi ni hybrid ya wild corn tunaiita teosinte , mahindi na product zake zote ni sumu kali sana na haifai kwa kuliwa na mwanadamu
,wanga ambao Mungu alitupa tuule ni
1.teff
2.splet
3.jamii za millet