Je, ni kweli ugonjwa wa homa ya ini unatibika na kupona kabisa?

Rwelengera

New Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
2
Reaction score
1
Kumekuwepo na taarifa pia matangazo mengi kuhusu dawa za kutibu ugonjwa wa homa ya ini.

Je, ni kweli ugonjwa huu unatibika na kupona kabisa?

Je, ni sahihi dawa mbadala ni Bora zaid kuliko za hospital?
 
Ndiyo, inatibika kulingana na hatua (stage) ya ugonjwa wenyewe.

Pia kuna chanjo kwa ajili ya ugonjwa wa Hepatitis B.

Ni muhimu kufika hospitalini kupima kama una maambukizi hayo upatiwe tiba au kama huna unapatiwa chanjo.
Kila la kheri.
 
Kumekuwepo na taarifa pia matangazo mengi kuhusu dawa za kutibu ugonjwa wa homa ya ini.

Je, ni kweli ugonjwa huu unatibika na kupona kabisa?

Je, ni sahihi dawa mbadala ni Bora zaid kuliko za hospital?
Hoam ya ini inatibika maradhi ya Ukimwi aka HIV yanatibika Maradhi ya Saratani yanatibika vidondavya tumbo vinatibika maradhi ya Presha yanatibika maradhi ya kupooza aka Stroke yanatibika hakuna maradhi yasiyoweza kutibika kwa dawa za Asili .Isipokuwa mpaka umpate mtu mwenye kujuwa kuyatibu maradhi yako na akakutibu na ukapata kupona maradhi yako. Kama unayo maradhi yanayo kusumbuwa nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako.
 
Leta Namba
 
Mimi niliwahi kupata homa ya inni. Dalili zake:
Macho kuwa ya njano.
Mkojo rangi ya kahawa
Kukosa hamu ya kula
Kutapika ukijaribu kula.

Ugonjwa huu hauna tiba ila unaweza kula vizuri unapona mwenyewe.

Mimi nili kunywa sana supu nikapona.

Pia sababu ya ugonjwa ilikuwa sio pombe Bali ni harufu ya kinyesi Cha mtu fulani aliyeumwa
 
Harufu ?
 
Supu ya kitu gani mkuu ulikunywa
 
Back
Top Bottom