Rwelengera
New Member
- Nov 16, 2024
- 2
- 1
Stage ya awali inatibikaje,MkuuInategemeana na stage ya ugonjwa.Kama ugonjwa uko katika stage ya awali unatibika,lakini Kama umeshafikia hatua ya juu zaidi ambayo hata ini lenyewe limeharibika inakuwa ni ngumu Sana.
Wewe unaumwa?Stage ya awali inatibikaje,Mkuu
Mpenzi wangu amekutwa na Hepatitis BWewe unaumwa?
Kumekuwepo na taarifa pia matangazo mengi kuhusu dawa za kutibu ugonjwa wa homa ya ini.
Je, ni kweli ugonjwa huu unatibika na kupona kabisa?
Je, ni sahihi dawa mbadala ni Bora zaid kuliko za hospital?
Hoam ya ini inatibika maradhi ya Ukimwi aka HIV yanatibika Maradhi ya Saratani yanatibika vidondavya tumbo vinatibika maradhi ya Presha yanatibika maradhi ya kupooza aka Stroke yanatibika hakuna maradhi yasiyoweza kutibika kwa dawa za Asili .Isipokuwa mpaka umpate mtu mwenye kujuwa kuyatibu maradhi yako na akakutibu na ukapata kupona maradhi yako. Kama unayo maradhi yanayo kusumbuwa nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako.Kumekuwepo na taarifa pia matangazo mengi kuhusu dawa za kutibu ugonjwa wa homa ya ini.
Je, ni kweli ugonjwa huu unatibika na kupona kabisa?
Je, ni sahihi dawa mbadala ni Bora zaid kuliko za hospital?
Leta NambaHoam ya ini inatibika maradhi ya Ukimwi aka HIV yanatibika Maradhi ya Saratani yanatibika vidondavya tumbo vinatibika maradhi ya Presha yanatibika maradhi ya kupooza aka Stroke yanatibika hakuna maradhi yasiyoweza kutibika kwa dawa za Asili .Isipokuwa mpaka umpate mtu mwenye kujuwa kuyatibu maradhi yako na akakutibu na ukapata kupona maradhi yako. Kama unayo maradhi yanayo kusumbuwa nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako.
Acha kuwa mjinga, Mtu asiyeweza hata kuandika maneno ya Kiswahili kwa ufasaha unataka akutibu Ukimwi/Kansa/Homa ya Ini?? Mtaendelea kutapeliwa paka akili ziwakae sanaLeta Namba
Ndio ukoje huo kakaUnatibika mkuu tena kwa miti shamba ni bora na haraka zaidi kuna ule mmea unaitwa mzalia nyuma kiboko sana
Harufu ?Mimi niliwahi kupata homa ya inni. Dalili zake:
Macho kuwa ya njano.
Mkojo rangi ya kahawa
Kukosa hamu ya kula
Kutapika ukijaribu kula.
Ugonjwa huu hauna tiba ila unaweza kula vizuri unapona mwenyewe.
Mimi nili kunywa sana supu nikapona.
Pia sababu ya ugonjwa ilikuwa sio pombe Bali ni harufu ya kinyesi Cha mtu fulani aliyeumwa
Supu ya kitu gani mkuu ulikunywaMimi niliwahi kupata homa ya inni. Dalili zake:
Macho kuwa ya njano.
Mkojo rangi ya kahawa
Kukosa hamu ya kula
Kutapika ukijaribu kula.
Ugonjwa huu hauna tiba ila unaweza kula vizuri unapona mwenyewe.
Mimi nili kunywa sana supu nikapona.
Pia sababu ya ugonjwa ilikuwa sio pombe Bali ni harufu ya kinyesi Cha mtu fulani aliyeumwa