Je, ni kweli ugonjwa wa Pangusa usipotibika uume unaweza kukatika na kudondoka chini?

Je, ni kweli ugonjwa wa Pangusa usipotibika uume unaweza kukatika na kudondoka chini?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Sasa naona magonjwa yanaibuka kila siku.

Nasikia huu ni ugonjwa unaoambukozwa kwa zinaa, na ukichelewa kuutibu kwa mwanaume uume huuathirika na hatimaye kukatika kabisa?
 
Sasa naona magonjwa yanaibuka kila siku.

Nasikia huu ni ugonjwa unaoambukozwa kwa zinaa, na ukichelewa kuutibu kwa mwanaume uume huuathirika na hatimaye kukatika kabisa?
Kamaa ume uvagaa,wahi matibabu vinginevyo anza kuagana na hiyo kitu🤣
 
Yes usipouwahi unatafuna sana huo ugonjwa hata kusababisha kukatika sehemu za siri.
 
Unalika kidogokidogo hadi unaisha alafu mwisho panatokea kashimo mithili ya uke sema kashimo kenyewe kanakuwa ni kidonda kibichi 😁
 
Back
Top Bottom