KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Legendary napatwaje na madhila hayo?Hapo tuliosoma Cuba tumeshaelewa.
We wahi matibabu mkuu, ukitafuta kujifariji hapa utajabakia na kipande.
π€£π€£Na hicho kipande kikidondoka chini ukachelewa kukiokota kikiliwa na mbwa ndio utakuwa mwisho wa uanaume wako
Kamaa ume uvagaa,wahi matibabu vinginevyo anza kuagana na hiyo kituπ€£Sasa naona magonjwa yanaibuka kila siku.
Nasikia huu ni ugonjwa unaoambukozwa kwa zinaa, na ukichelewa kuutibu kwa mwanaume uume huuathirika na hatimaye kukatika kabisa?
πππππUnalika kidogokidogo hadi unaisha alafu mwisho panatokea kashimo mithili ya uke sema kashimo kenyewe kanakuwa ni kidonda kibichi π
Uke tena?Unalika kidogokidogo hadi unaisha alafu mwisho panatokea kashimo mithili ya uke sema kashimo kenyewe kanakuwa ni kidonda kibichi π