Je, ni kweli ujana ni maji ya moto?

figh

Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
17
Reaction score
4
Napenda niende moja kwa moja kwenye mada yangu napenda kuuliza jaman wana jf ni kweli ule msemo wa ujana ni maji ya moto upo vp huo msemo...
 
Hili jukwaa sio la mada za kijinga jinga kama hizo. Kamuulize Dada yako kama ni maji ya moto au ya kwenye fridge.
 
Kwan kimekukuta nn mpk unauliza hvyo ,au ndio ushamtiaa mwanafunzi mimbaa
 
Endelea kuosha sahani na kukomba mboga kwa dada yako..siku jua likizama, utajua ata mwanaume huolewa mjini..empty set!
 
Napenda niende moja kwa moja kwenye mada yangu napenda kuuliza jaman wana jf ni kweli ule msemo wa ujana ni maji ya moto upo vp huo msemo...
Jamani kwani hamuoni badge hapo juu “NEW MEMBER”!!!

Si sawa kumtolea mapovu kama kweli mnajielewa zaidi ya mleta mada na mapovu yenu hapo juu.


Naamini ma mods watafanya kazi yao kuhamisha uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…