BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Wadau wa ujenzi hasa mafundi na mainjinia wa ujenzi huyu jamaa ktk kupiga ripu kaanza na wire meshi eti inazuia nyumba kuchanika (nyufa). Je hiki kitu ni kweli na nisahihi kufanya hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa suluhisho ni kufanyaje ili hizo nyufa zisijitokeze, maan huyu katumia wire mesh. Na je zile nyufa za ndani ya ukuta wire meshi inaweza kusaidia?Sahii kabisa,
Nyufa nyingi hasa sehem ya madirisha utokana na kutanuka au kusinyaa Kwa chuma/ubao uliotumia kwny dirisha
Na nyufa hizi Hata ukibomoa Huwa haziusiani na ukuta, Bali plaster/lipu iliyopigwa
Suluhisho Ni lile lile,Hapa suluhisho ni kufanyaje ili hizo nyufa zisijitokeze, maan huyu katumia wire mesh. Na je zile nyufa za ndani ya ukuta wire meshi inaweza kusaidia?
Cha Kwanza bomoa ufa ujue je uko ktk ndani ya ukuta au Ni plaster TU.Hapa suluhisho ni kufanyaje ili hizo nyufa zisijitokeze, maan huyu katumia wire mesh. Na je zile nyufa za ndani ya ukuta wire meshi inaweza kusaidia?