Vedasto Leopold
Member
- Aug 31, 2017
- 27
- 33
Hapana sio kwel mkuu.. mm huwa wakianza kutaga nawatoeleaga mayai kila yafikapo mawl na kuliacha moja, kisha wakianza kukalia nawawekea yte na kwa sasa bado wanaklia vyema tu. Hii inepelekea kuwa na bata wengi sana.Habari zenu wadau. Kwa wale wafugaji wa Bata, Kuna ukweli wowote kwamba ukigusa mayai ya bata Basi yanaoza, hayawezi kutotolewa? Au Ni Imani za watu tu? Wazoefu mtupe uzoefu.
Karibuni.
Mkuu kwanza pole kwa hlo, pil bata bukini mahal penye mambo ya kishirikina hawezi kuongeza uzao. Simaanishi kama hapo kwako ila kama kwa jirani au maeneo ya karibu kna mambo mambo ya kiswahili hawezi kuleta uzao.Nina Bata Bukini aisee huu mwaka wa 4 kila akitaga na kutamia mayai yanaharibika. Kuchinja siwezi kuuza siwezi.
Basi kunawez kuw na ukwel hapa mtaani kuna watu wawili siwaelewi kabisa. Mmoja nyumba yake tunashare ukuta wa fensi.Mkuu kwanza pole kwa hlo, pil bata bukini mahal penye mambo ya kishirikina hawezi kuongeza uzao. Simaanishi kama hapo kwako ila kama kwa jirani au maeneo ya karibu kna mambo mambo ya kiswahili hawezi kuleta uzao.
Bata bukini na mambo ya kiswahili hawaendani na ndo maana mtu akiwa mwanga akikutana na bata buKini hapo huwa mtiti mzito, naongea katika jambo ambalo nina uzoefu nalo.
Bomoa ukuta upate bata wa kutashoBasi kunawez kuw na ukwel hapa mtaani kuna watu wawili siwaelewi kabisa. Mmoja nyumba yake tunashare ukuta wa fensi.
Ukitaka kuamin nksemacho, huo mfugo kaufuge kwa ndgu au rafk unaemuamn..... After two months tutakuja kwenye huu uzi kupeana shukran mkuu.Basi kunawez kuw na ukwel hapa mtaani kuna watu wawili siwaelewi kabisa. Mmoja nyumba yake tunashare ukuta wa fensi.
[emoji28][emoji28]Bomoa ukuta upate bata wa kutasho
[emoji1787][emoji1787]Basi kunawez kuw na ukwel hapa mtaani kuna watu wawili siwaelewi kabisa. Mmoja nyumba yake tunashare ukuta wa fensi.
Ngoja nijaribuUkitaka kuamin nksemacho, huo mfugo kaufuge kwa ndgu au rafk unaemuamn..... After two months tutakuja kwenye huu uzi kupeana shukran mkuu.
No co kujarbu mkuu.... N kuvaa mabomu ya kimaamuzi.Ngoja nijaribu
Thus whyKumbe?