Je, ni kweli ukimuacha mwanamke/ mke uliechuma naye mali unaweza kufilisika?

phantomnation

Member
Joined
Jun 8, 2022
Posts
58
Reaction score
106
Habariii za humu wana Jamii, Mara nyingi nimekutana na uzi nyingi sana mfano Kama uzi wa Analyse INSIDER MAN humu na watu kadhaa wakisema kwamba eti ukiwa katika harakati za kutafuta maisha na ukawa na mwenza/mke wako mmojaa katika utafutajii na kwa rehema za mwenyezi mungu ukazipata mali.

Je, ni kweliii pale endapo utakua umefanikiwa unaanza kumnyanyasa na kumuacha huyo mwenza wako uliekua nae katika usakaji na baada ya kuzipata ukamuona si kitu na kumuacha ni kweliii kuna uwezekano wa kufirisika au kuzipoteza hizo mali?
 
Usiogope, mwanamke akileta jeuri hata kama mlianza kulala kwenye tent na sasa unamiliki mali za kutosha achana nae. Unapaswa kijua kua level za huyo mwanamke ilikuwa nyumba ya tope iliyoezekwa na nyasi hataweza kuishi kwenye nyumba ya kisasa. Wanawake wengi hawajui wanachokitafuta
 
😂😂😂 kama umeuacha sababu ya kuachwa ni yeye kisababishi kwa nini ufilisike?
 
Habariii za humu wana Jamii, Mara nyingi nimekutana na uzi nyingi sana mfano Kama uzi wa Analyse INSIDER MAN humu na watu kadhaa wakisema kwamba eti ukiwa katika harakati za kutafuta maisha na ukawa na mwenza/mke wako mmojaa katika utafutajii na kwa rehema za mwenyezi mungu ukazipata mali.

Je, ni kweliii pale endapo utakua umefanikiwa unaanza kumnyanyasa na kumuacha huyo mwenza wako uliekua nae katika usakaji na baada ya kuzipata ukamuona si kitu na kumuacha ni kweliii kuna uwezekano wa kufirisika au kuzipoteza hizo mali?
Mali pia zina roho zina masikio na zina macho.. Mkeo ni sehemu yake ukizingua zinazingua vilevile
 
Usiogope, mwanamke akileta jeuri hata kama mlianza kulala kwenye tent na sasa unamiliki mali za kutosha achana nae. Unapaswa kijua kua level za huyo mwanamke ilikuwa nyumba ya tope iliyoezekwa na nyasi hataweza kuishi kwenye nyumba ya kisasa. Wanawake wengi hawajui wanachokitafuta
Kuna jamaa alikuwa ni mfanyakazi kwa Muhindi baadae akafukuzwa na kuanza kuendesha bodaboda baade akapata bahati ya mtende akafungua bihashara yake ambayo ni sawa na ile ya alikokuwa akifanya kazi kwa muhindi, Mungu bariki biashara ikachangamka na ikakubali hasaaa, katika shida zote hizo alikuwa na mwanamke lkn baada ya mambo kukaa sawa yule mwanamke akatimuliwa jamaa akaoa mwingine, wako wanakula maisha, ila yule wa kwanza akuwa kichomi kwelikweli .
 
Lazima kutakua na sababu za msingi ya kumuacha. Huenda alipokuwa hana kitu mwanamke alikuwa anagawa sana na jeuri sasa jamaa kapata mali mwanamke ameshazoea kugawa na jeuri wakati huo mwanaume ana nafasi ya kumuacha muda wowote
 
Sasa kama yeye ndio alikua anakuongoza, ushauri ulikua unategemea kwake na maombi yake kwa Mungu yalikuinua usifilisike sababu gani????
Halafu kuna kuachana kwa amani moyoni na kumuacha mtu kwa uonevu na kuzalilisha utayumba tu
 
Habariii za humu wana Jamii, Mara nyingi nimekutana na uzi nyingi sana mfano Kama uzi wa Analyse INSIDER MAN humu na watu kadhaa wakisema kwamba eti ukiwa katika harakati za kutafuta maisha na ukawa na mwenza/mke wako mmojaa katika utafutajii na kwa rehema za mwenyezi mungu ukazipata mali.

Je, ni kweliii pale endapo utakua umefanikiwa unaanza kumnyanyasa na kumuacha huyo mwenza wako uliekua nae katika usakaji na baada ya kuzipata ukamuona si kitu na kumuacha ni kweliii kuna uwezekano wa kufirisika au kuzipoteza hizo mali?
Kama uliokutana nae akakuta umejisimamia mwenyew hivyo ata akiondoka huwezi teteleka mzee utaendelea kusimamia misingi yako ya kiuchumi
 
Back
Top Bottom