phantomnation
Member
- Jun 8, 2022
- 58
- 106
Mali pia zina roho zina masikio na zina macho.. Mkeo ni sehemu yake ukizingua zinazingua vilevileHabariii za humu wana Jamii, Mara nyingi nimekutana na uzi nyingi sana mfano Kama uzi wa Analyse INSIDER MAN humu na watu kadhaa wakisema kwamba eti ukiwa katika harakati za kutafuta maisha na ukawa na mwenza/mke wako mmojaa katika utafutajii na kwa rehema za mwenyezi mungu ukazipata mali.
Je, ni kweliii pale endapo utakua umefanikiwa unaanza kumnyanyasa na kumuacha huyo mwenza wako uliekua nae katika usakaji na baada ya kuzipata ukamuona si kitu na kumuacha ni kweliii kuna uwezekano wa kufirisika au kuzipoteza hizo mali?
Kuna jamaa alikuwa ni mfanyakazi kwa Muhindi baadae akafukuzwa na kuanza kuendesha bodaboda baade akapata bahati ya mtende akafungua bihashara yake ambayo ni sawa na ile ya alikokuwa akifanya kazi kwa muhindi, Mungu bariki biashara ikachangamka na ikakubali hasaaa, katika shida zote hizo alikuwa na mwanamke lkn baada ya mambo kukaa sawa yule mwanamke akatimuliwa jamaa akaoa mwingine, wako wanakula maisha, ila yule wa kwanza akuwa kichomi kwelikweli .Usiogope, mwanamke akileta jeuri hata kama mlianza kulala kwenye tent na sasa unamiliki mali za kutosha achana nae. Unapaswa kijua kua level za huyo mwanamke ilikuwa nyumba ya tope iliyoezekwa na nyasi hataweza kuishi kwenye nyumba ya kisasa. Wanawake wengi hawajui wanachokitafuta
Lazima kutakua na sababu za msingi ya kumuacha. Huenda alipokuwa hana kitu mwanamke alikuwa anagawa sana na jeuri sasa jamaa kapata mali mwanamke ameshazoea kugawa na jeuri wakati huo mwanaume ana nafasi ya kumuacha muda wowoteKuna jamaa alikuwa ni mfanyakazi kwa Muhindi baadae akafukuzwa na kuanza kuendesha bodaboda baade akapata bahati ya mtende akafungua bihashara yake ambayo ni sawa na ile ya alikokuwa akifanya kazi kwa muhindi, Mungu bariki biashara ikachangamka na ikakubali hasaaa, katika shida zote hizo alikuwa na mwanamke lkn baada ya mambo kukaa sawa yule mwanamke akatimuliwa jamaa akaoa mwingine, wako wanakula maisha, ila yule wa kwanza akuwa kichomi kwelikweli .
Kama uliokutana nae akakuta umejisimamia mwenyew hivyo ata akiondoka huwezi teteleka mzee utaendelea kusimamia misingi yako ya kiuchumiHabariii za humu wana Jamii, Mara nyingi nimekutana na uzi nyingi sana mfano Kama uzi wa Analyse INSIDER MAN humu na watu kadhaa wakisema kwamba eti ukiwa katika harakati za kutafuta maisha na ukawa na mwenza/mke wako mmojaa katika utafutajii na kwa rehema za mwenyezi mungu ukazipata mali.
Je, ni kweliii pale endapo utakua umefanikiwa unaanza kumnyanyasa na kumuacha huyo mwenza wako uliekua nae katika usakaji na baada ya kuzipata ukamuona si kitu na kumuacha ni kweliii kuna uwezekano wa kufirisika au kuzipoteza hizo mali?
Halafu ukifa na asiolewe au? 🤣Inategemea amefanyaje Hadi mkafikia kuzinguana nae!!
Kama kayatimba mwenyew achana nae na laana ataondoka nayo yeye mwenyewe
Ndo ukweli na uhalisia huo mkuuHalafu ukifa na asiolewe au? 🤣