Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante,ni maradhi yapi unayoweza kuyapata?Labda kama bado uchafu unaendelea kutoka yani ikiwa hajasafishwa ipasavyo, yeye atapata maumivu na side effects.
Nawewe pia utapata maradhi kutokana na uchafu unaotoka kuwa umebeba bakteria.
Ila kama akiwa safi sidhani kama kuna shida yeyote..