Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoba ukiuona unasema yes..ukija sasa...ni vile vya watoto wa sekondari au wanaita vinainai vikoba vya watoto shule ya msing kbs.sijui whyWana deliver lakini utakachopokea ni tofauti kabisa na wanachokuwa wamekuonesha kwenye picha..
Nilioneshwa picha ya Boonge la Mtreni Wa kuchezea watoto, kwenye Picha wameweka mtoto yuko ndani ya hilo Treni. Ila nilivyonunua nikakutana na vitakataka mfano Wa Treni hata kwenye kiganja cha Mtoto mchanga hakajai..
Swimming Pools niliambiwa dimensions ni 210*130*60cm ila nilichopokea ni kidude kina 120*70*30cm. Hata ukilalamika hawanaga ushirikiano kabisa.
Wana deliver lakini utakachopokea ni tofauti kabisa na wanachokuwa wamekuonesha kwenye picha..
Nilioneshwa picha ya Boonge la Mtreni Wa kuchezea watoto, kwenye Picha wameweka mtoto yuko ndani ya hilo Treni. Ila nilivyonunua nikakutana na vitakataka mfano Wa Treni hata kwenye kiganja cha Mtoto mchanga hakajai..
Swimming Pools niliambiwa dimensions ni 210*130*60cm ila nilichopokea ni kidude kina 120*70*30cm. Hata ukilalamika hawanaga ushirikiano kabisa.
Kikuu wahuni sana.Mkoba ukiuona unasema yes..ukija sasa...ni vile vya watoto wa sekondari au wanaita vinainai vikoba vya watoto shule ya msing kbs.sijui why
Wanaleta mpka mtaani kwako, kuwa makini tu kwenye kuchagua bidhaa pia pitia reviews za watu juu ya bidhaa husika usikurupuke..Habari wakuu,
Kwa wanaonunua kikuu jee ni kweli wanadeliver hadi ulipo?
Vipi shipping yao inachukua siku ngap?
Jee wakideliver had ulipo wanakuchaji?