Kwa kweli adui, UJINGA bado unatukaba koo na hivyo ukombozi wetu bado ni mbali; Nasikitika sana watanzania kuonesha kwa vitendo kukubaliana na kauli zifuatazo:
Wanaopata mimba na ukimwi ni viherehere...!
Watumishi wa umme, bora mbayuwayu...!
Lowasa, mramba..., ni wachapakazi na ni watu safi!
Elimu bure haiwezekani...!
Sizungumzi na watumishi, hadi wapate ngeu...!
Ushindi kwa CCM ni lazima, na wala si ridhaa ya watanzania...!
Wazee wastaafu, wamwagiwe tindikali, maji ya kuwasha...!