Je, ni kweli unaweza kupata internet bure kwa kutumia VPN Proxy?

Je, ni kweli unaweza kupata internet bure kwa kutumia VPN Proxy?

devis20010726

Member
Joined
Jul 12, 2022
Posts
6
Reaction score
5
Wadau wa JamiiForums eti inawezekanaje mtu kutumia mtandao free bila bando...

Kuna wanaosema wanatumia free intanet kwa kufanya ujanja kwa kutumia VPN proxy me nikaona niwashirikishe waungwana usikute nimepigwa.

Screenshot_20220712-151851.png
 
Labda utumia phsiphon pro tena mtandao wa kubahatisha inategemea eneo uliopo Mzee

Jaribun na thunder vpn
 
Inawezekana kuna dogo aliniungia kwenye simu yangu sema ipo slow nikaiondoa. Ila ni usumbufu tupu. Madogo wa ahule ndo wanaweza maana kila siku lazima uunge and hautakiwi kutumia zikaisha na ni mb300 tu
 
Kuna vitu ukivijua utajilaumu ulichelewa wapi kuvijua..watu wanakula mema ya nchi kimyakimya sema nn..unoko ndio unafanya watu wavunge wale maisha wenyewe.
 
Back
Top Bottom