GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwahiyo kumbe unaweza ukawa Unafeli sana Shuleni huku Chuo Kikuu ukiwa ni Mbobezi ( Mtukuka ) wa kupata 'Sups' za Kutosha tu lakini bado ukawa ni Genius?ni kweli mkuu" Ngoja tusubiri nondo na references
Kwanini unapenda Kukoleza ( Bold ) Maelezo yako / Maoni yako? au unataka kujiweka tofauti ili utambulike Kiurahisi na pia uonekane kuwa ni Mchangiaji mwenye Madini?Kuna magenius wengi huku mtaa tunakula nao ugali wa donee na mchicha mtaani, ila kuna back bencher wengine wako mbali kimaisha
Hamna hata cha ziada, ninapenda tu mkuuKwanini unapenda Kukoleza ( Bold ) Maelezo yako / Maoni yako? au unataka kujiweka tofauti ili utambulike Kiurahisi na pia uonekane kuwa ni Mchangiaji mwenye Madini?
BUSISI UNIVERSITY IKO WAPI HIYO?Inaonekana Genta aliambaaambaa na credit mpaka akibukia BUSISI UNIVERSITY
Iko Mwanza,alikosoma Game changer. Mzee wa unyangindoBUSISI UNIVERSITY IKO WAPI HIYO?
Genius huwa wanaona na kutenda nje ya upeo wa watu wanaomzunga na wanaweza wasimwelewe kabisa hadi kumdisqualify kama issue ya galileo na catholic kuhusu dunia ni mvilingo. Dunia ina magenius ambao mfumo umeshindwa kuwacommodate na kuishia kuwa vichaa na masikini wa kutupwa wakati wana maona ya kubadilisha dunia. Ni kweli tunaongozwa na akili ndogo zilizopata fursa na hawako tayari at any costInasemekana ni rahisi mno kwa Genius kufanya Vibaya Kitaaluma (akiwa Shuleni na Chuo Kikuu), ila ni Vigumu kwa Mtu wa Kawaida (Slow Learner) anayefaulu sana Kitaaluma kuwa Genius kabisa.
Najiandaa sasa Kusoma tu 'Nondo' zenu Kali 'Great Thinkers' wa JamiiForums ambao nawakubali kuliko Maelezo.
FactGenius huwa wanaona na kutenda nje ya upeo wa watu wanaomzunga na wanaweza wasimwelewe kabisa hadi kumdisqualify kama issue ya galileo na catholic kuhusu dunia ni mvilingo. Dunia ina magenius ambao mfumo umeshindwa kuwacommodate na kuishia kuwa vichaa na masikini wa kutupwa wakati wana maona ya kubadilisha dunia. Ni kweli tunaongozwa na akili ndogo zilizopata fursa na hawako tayari at any cost