The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,255
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh,kweli mjini shule,Jamaa hakuna kitu kama hicho,huyo Jamaa muongo ananchotaka ni kwamba ampige changa la macho asepe nazo au ampatie exchange Rate mbaya ili yeye apate faida.
Ila kama pesa ni ya mwaka chini ya 2000 kwa badhi ya Banks wanasumbua ila kama ni ku change basi unapata exchange Rate ndogo ila kwa tofauti ndogo sana,ila Barclays wao jembe la shamba wanachukua zozote
sasa mkuu wanajuaje kama hii pesa ni ya mwaka 2000 au chini ya hapo?
huu uzi wa madolali, si wa shilingi, wacha tupite kimya kimya.:israel:
Wewe unazo za mwaka gani
Hahahhahahaha
Kadanganywa unless ni niti ya mwaka 1999 kushuka chini
kaka manyerere ni za mwaka mchanganyiko zipo za 2005,2007,na za 2010 jamaa alikuwa anajikusanyia kwa watalii hapa ruaha national park
Hizo zinatumika kabisaa bila wasiwasi,tatizo alionyesha wajanja na sijui kama mwenye pesa hizo sio dem,maana kuweka pesa mpaka kufikia kiasi hichi cha Dollars 17,000 ambazo ni sawa na miloni 28 sio mchezo kwa mwanaume.
na Rafiki huyo aliekuambia kuwa zimekwisha muda wake basi hafai kuwa rafiki kabisaa na ni hatari sana.
Ila kuwa makini sana huyo jamaa aliekudanganya anaweza kufanya issue akamtumia Majambazi,cha msingi kama ana account bank basi a change hizo pesa na kuweka Bank siku hiyo hiyo,na kama hana basi afungue account na aziweke.
Ninavyojua mie kwa uzoefu wa Ma Bank ni kwamba kama atakwenda siku hiyo na hizo pesa na kumueleza Manager basi anaweza kumfungulia Account ya haraka then processes nyingine ndogo zitamaliziwa.
Akitaka nimpe milioni 26 anitafute(ila kiwango halisi cha thamani ya pesa yake ni milioni 28)