Je, ni kweli utumwa ulitwaa mbegu bora ya waafrika?

Je, ni kweli utumwa ulitwaa mbegu bora ya waafrika?

Papa D

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
753
Reaction score
182
Bara la Afrika limekuwa likikumbwa na matatizo yanayofanana mfano: angalia Ivory coast, Zimbabwe, Kenya, Sudan na kwingine. imefika wakati baadhi ya watu wanajiaminisha kwamba hali hii inatokea kwa sababu Waafrika wenye akili, nguvu na mawazo ya kimapinduzi walichukuliwa utumwani waliobaki walikuwa waoga na wenye uwezo mdogo kiakili. Je, kuna ukweli wowote katika hili?
 
Back
Top Bottom