Je, ni kweli vichaa hawapati kipindupindu?

Je, ni kweli vichaa hawapati kipindupindu?

hyle master

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
207
Reaction score
23
Wakuu kuna ukweli wowote kwamba vichaa hawapati kipindupindu ukilinganisha vyakula wanavyo kula so salama kiafya reference mjadala wa wasanii wetu wa bongo...
 
Wakuu kuna ukweli wowote kwamba vichaa hawapati kipindupindu ukilinganisha vyakula wanavyo kula so salama kiafya reference mjadala wa wasanii wetu wa bongo...

Kuna kitu kinaitwa ku adopt.

Unapokuwa exposed katika mazingira fulan kwa muda , mwili unajenga hali au namna ya kujikinga na changamoto.

Mfano unapo pata nakozi au sugu mikononi baada ya kufanya kazi ngumu.

Lakini masuala ya afya hili la kinga lipo sana, na hii hutegemeana sana na uimara wa kinga na afya mtu kiujumla.

Chizi aanzi gafla tu kuanza kula vyakula vya ovyo kwa 100% inakuwa kidogo kidogo na nguvu hujengeka kidogo kidgo hadi pale anapokuwa anakomaaa. Lakini si kwa watu wote huweza kujenga hiii kitu, katika stage ya mwanzo ya kushambuliwa na wadudu husika wengine wanafail kutengeneza kinga kisha huugua na kufa.

Sio machizi wote wasioumwa wapo wanaumwa sana tu, ila watamwambia nani?? Wataenda hospital?? HAPANA hapa ndio maana huwakuti au kujua kuwa wanaumwa.

Lakini jingine, kuna kitu kipo kisaikolijia kwenye akili. Ukisema LAW OF ATRACTION....

KUWA KILE KILICHO JENGEKA AKILINI MWAKO KINA ASILIMIA KUBWA KUTOKEA, Wagonjwa wa akili wengi na hata watu wengine wanaotumia vema hizi sheria na kuziisha hupata matokeo husika.

Wazee wetu walikuwa na msemo mmoja....

"AWAZALO MJINGA NDILO LITALO MTOKEA...."
 
Wakuu kuna ukweli wowote kwamba vichaa hawapati kipindupindu ukilinganisha vyakula wanavyo kula so salama kiafya reference mjadala wa wasanii wetu wa bongo...

Jibu rahisi sana "vingi vinavyotupwa majalalani si vinyesi ".
 
Hata kichaa akipata kipindupindu utajuaje...?
Maana vichaa wengi ni wachafu hata wakiumwa na kupata kipindupindu hakuna atakayejua
 
Wakati niko mdogo pia nilikuwa najiuliza hili swali bila kupata jibu, kadri nilivyokua nikagundua kuwa magonjwa hasa huanzia akilini. Akili ikivurugika ubongo ambao ndo akili inakwama kupeleka taarifa kuwa tumbo linauma au sasa umetembea umbali mrefu pumzika. Ila nahisi hawa vichaa ubongo/akili zao hupata taarifa ya chuchumaa ujojoe au upuu.
 
Ni kweli hawapati mana akili yao inakuwa imeshapinduka tayari..mfano mzuri ni mtu anaejiita"Stroke"
 
Wakati niko mdogo pia nilikuwa najiuliza hili swali bila kupata jibu, kadri nilivyokua nikagundua kuwa magonjwa hasa huanzia akilini. Akili ikivurugika ubongo ambao ndo akili inakwama kupeleka taarifa kuwa tumbo linauma au sasa umetembea umbali mrefu pumzika. Ila nahisi hawa vichaa ubongo/akili zao hupata taarifa ya chuchumaa ujojoe au upuu.
interesting
 
Ina maana hata akila chakula chenye sumu pia hapati madhara?
 
Wazinzi wangapi wanafanya zinaa deile na wanaopata magonjwa ni wachache?
au ni vijiji vingapi wanatumia maji ya visimani tena visivyofunikwa na sometimes hadi mifugo inakunywa maji humohumo lakini watu Hawaugui?
 
Back
Top Bottom