Je, ni kweli viwanja kwa ajili ya showrooms za magari kibada zinatolewa bure na serikali?

Mandison

Senior Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
191
Reaction score
110
Nimefuatilia mazungumzo ya RC Dar kuhusu kuwataka wauza magari kuhamia Kigamboni eneo la Kibada kwa maelezo kuwa wanapatiwa viwanja bure.

Hiyo itakuwa ni hatua nzuri ukizingatia ameahidi mbele Taasisi ya Sekta binafsi kuwa barabara za lami zitajengwa.

Ninachopenda kupata ufafanuzi ni kwamba;
(1) Hivyo viwanja vinatolewa na serikali?
(2) Wamiliki wa hizo showrooms watakabidhiwa hati miliki baada ya kupewa hivyo viwanja?
(3) Je, kuna mmiliki yeyote wa showroom ya magari ambaye ameshafuatilia kwa RC ili kupewa hivyo viwanja?
 
Mjini hakuna cha bure.

GSM wamepewa tender na Bashite kwa style hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…