johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Niko na bwashee Kavishe hapa ananiambia wabunge wote wa Chadema waliohamia CCM ni wale soft soft ambao hawajawahi kuwekwa mahabusu wala kulala polisi kwa sababu za kisiasa.
Bado natafakari lakini kwa haraka nakumbuka Mwita Waitara amewahi kulala mahabusu kwa siku kadhaa.
Wengine ......Ole milya sikumbuki
Dr Mollel........sikumbuki
Mwambe............sikumbuki
Ryoba...........sikumbuki
Ukerewe.........sikumbuki
Babati............huyu mama kama aliwahi kulala ndani wakati fulani.
Anyway nadhani data za Kavishe zina walakini au ndio yale maneno ya mkosaji.
Cheche za Waitara enzi zake zilikuwa si za kitoto halafu useme hajawahi kutiwa msukosuko na kutupwa ndani?......hiyo nakataa.
Maendeleo hayana vyama!