Nitakuuliza swali, ubatizo wa yohana, ulitoka kwa MUNGU au kwa wanadamu?Nimesema kuhusu ubatizo
Mnafuata Yesu au Yohana?
Allergy inashindwa kwa jina la YESUNendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Mathayo 28:19 … Maji ni ishara tu ukikiri tu Yesu ni mwokozi wa maisha yako inatosha, kama una allergy na maji
Ukitoa hoja za kibiblia weka na reference ili tujue uliyoyasema yametoka kifungu gani na sisi tufuatilie. Itapendeza zaidi in Tlaatlaah 's voice.Leo nitasema kuhusu ubatizo.
Wakiristo wote duniani wanaamini kwamba,kubatizwa ni moja ya mafundisho ya Yesu. Ukweli ni Yesu alibatizwa (kwa maji ) na Yohana (mtume) na sababu ya kubatizwa ni; Yesu alimuamini Yohana kuwa ni mtume.
Na Yohana aliwambia atakuja nabii atawabatiza kwa roho mtakatifu (kutamkishwa maneno).
Njia ya ubatizo ilikuwa ni kama (shahada) ya kumuamini Yohana kuwa ni mtume.
Asa baada ya Yohana.
Yesu alipoanza kazi ya kuubiri injili kwa waisrael ,hakuwabatiza watu waliomuamini na kumfuata bali aliwatamkisha maneno (shahada).
Mafundisho yote ya ukiristo kuhusu Yesu yako kinyume kwa sababu ya maslahi yao binafsi.
Asante mkuu, katikaKwa Mungu
Duh, kazi kweli kweli.Mtumish unajifungaga kitambaa kichwani ukiwa kanisani...
Nimeizoom hiyo avatar nikakumbuka kama kuna fungu linahusu kam wanawake kufunika vichwa hivi.....Duh, kazi kweli kweli.
Sasa unaenda nje ya reli. Mada iliyopo hewani si inahusu ubatizo?Nimeizoom hiyo avatar nikakumbuka kama kuna fungu linahusu kam wanawake kufunika vichwa hivi.....
Sawa mtumish.........usiku mwema....Sasa unaenda nje ya reli. Mada iliyopo hewani si inahusu ubatizo?
we si mkristo, ni muislamLeo nitasema kuhusu ubatizo.
Wakiristo wote duniani wanaamini kwamba,kubatizwa ni moja ya mafundisho ya Yesu. Ukweli ni Yesu alibatizwa (kwa maji ) na Yohana (mtume) na sababu ya kubatizwa ni; Yesu alimuamini Yohana kuwa ni mtume.
Na Yohana aliwambia atakuja nabii atawabatiza kwa roho mtakatifu (kutamkishwa maneno).
Njia ya ubatizo ilikuwa ni kama (shahada) ya kumuamini Yohana kuwa ni mtume.
Asa baada ya Yohana.
Yesu alipoanza kazi ya kuubiri injili kwa waisrael ,hakuwabatiza watu waliomuamini na kumfuata bali aliwatamkisha maneno (shahada).
Mafundisho yote ya ukiristo kuhusu Yesu yako kinyume kwa sababu ya maslahi yao binafsi.
Mathayo 28:19Leo nitasema kuhusu ubatizo.