Je, ni kweli wanawake hawana tamaa kama wanaume?

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Salaam,

Kuna binti aliwahi nambia, wanawake hawana tamaa kama wanaume coz wao ni selective sana linapokuja suala la mahusiano.

Alinambia, mwanamke kwa mwaka anaweza pokea order 100 hadi 1000 za mitongozo bt kua wao ni selective ktk order hizo akabahatika 1/2/3/hapana kabisa.

Akanambia kwa jinsi wanaume tulivyo na tamaa ya kuonja karibu kila sketi inayokatiza mbele yetu, tungepata order hizo anaamini kizazi cha kiume kingeshatoweka.

Je ni kweli wanawake hawana tamaa kama wanaume?
 
Kuna wanawake wengi tu ni kata mti panda mti au wanapata yale mahusiano ya mlipuko. Ila wengi huwa wanajificha ili kutokutooonekana malaya Ila kwa wanaume, ni wachache wanajificha maana kuwa na majike mengi mazuri mazuri huwa ni sifa..

Kwa hiyo inategemeana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…