Benson kaile Member Joined Dec 15, 2013 Posts 7 Reaction score 1 Mar 17, 2017 Thread starter #2 Tupeane mawazo pevu maana hali inazidi kuwa mbaya kimaisha..kuna familia zinafika wanawake hata pesa ya mboga ni ngumu kuchangia ila kwenye vipodozi, urembo binafsi na michango ya familia yake yuko mstari wa MBELE!!
Tupeane mawazo pevu maana hali inazidi kuwa mbaya kimaisha..kuna familia zinafika wanawake hata pesa ya mboga ni ngumu kuchangia ila kwenye vipodozi, urembo binafsi na michango ya familia yake yuko mstari wa MBELE!!
Benson kaile Member Joined Dec 15, 2013 Posts 7 Reaction score 1 Mar 17, 2017 Thread starter #3 Au wanaume wanajituma zaidi bila kushirikishana na wenza wao kuhusu matumizi hadi kufikia Wanawake kujitoa!!??
Au wanaume wanajituma zaidi bila kushirikishana na wenza wao kuhusu matumizi hadi kufikia Wanawake kujitoa!!??
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 5,487 Reaction score 4,817 Mar 17, 2017 #4 Inategemeana na mwanamke uliyenae kama anajitambua au lah.
habari ya hapa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 12,791 Reaction score 8,749 Mar 18, 2017 #5 Benson kaile said: Click to expand... Kazi ya wanawake ni kuzaa kwa uchungu tu Wanaume ni kula kwa jasho, Km mwataka mabadilishano semeni maana si kwa kulia huku
Benson kaile said: Click to expand... Kazi ya wanawake ni kuzaa kwa uchungu tu Wanaume ni kula kwa jasho, Km mwataka mabadilishano semeni maana si kwa kulia huku