Je, ni kweli Wanyakyusa wameshindikana linapokuja suala la Uigizaji?

Je, ni kweli Wanyakyusa wameshindikana linapokuja suala la Uigizaji?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ukienda kule DSTV (Jua Kali) utawakuta familia ya kina Mwaipopo [emoji23] ambao ni Gabo, Eliudi, Mwaipopo, Uncle Lusajo na Chichi & Mama Gabo, familia yenye kila aina ya vituko.

Hawa jamaa ni moto [emoji91] [emoji91] [emoji91] aisee wanakamia show sijapata kuona full confidence na kuitawala hadhira jinsi wanavyotaka.

Ukienda pale mjini Azam burudani Kwa wote, unakutana na tamthiliya kali ya BUNJI kama sijakosea tamthiliya yenye kichapo hatari.

Hapa unakutana na waigizaji hatari sana kina mwamposa (jamaa anapiga kinyaki mwanzo mwisho[emoji23]) + biti nyingi pia Kuna Isarito mwakalindile etc.

1708542519896.jpg
 
Back
Top Bottom