kuna picha inayosambaa mtandaoni ikionyesha wanandoa walio vaa nguo sare wakiwa mahakamani kwaajil ya talaka lakin kesi hiyo imeghairishwa mpaka watakapo kuwa na uhakika
- Tunachokijua
- Kumekuwapo na na taarifa inayosambaa mtandaoni ikdaiwa kuwa ni ya wanandoa waliokwenda kuomba talaka mahakamani lakini Jaji waliwafukuza kwa kuwa waienda wakiwa wamaevaa sare na kuwaaka warudi watakaokuwa tayari.
UHALISIA
Baada ya uchunguzi katika mitandao tofauti imebainika kuwa picha hiyo inayosambaa ni ya kweli lakini tukio hilo si la mwaka 2026 kama taarifa nyingi zilivyosambaa Julai 2026.
Tukio hilo lilitokea mwaka 2023 nchini Nigeria ambapo wanandoa walienda mahakamani kwaajili ya kesi ya talaka wakiwa wamevaa sare lakini Jaji akawarudisha nyumbani na kuwaambia warudi wakiwa wako tayari na talaka lakini picha hiyo imesambaa 19/7/2026