HPAUL
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 410
- 567
Wakati wapenzi wa Yanga wakisubiri kuona combination kali ya Fei Toto na Mo Banka kama ilivyokuwa katika Senior Challenge Cup Kenya mwaka jana, habari mpya ni kwamba Yanga wamelishwa matango pori, na Mo Banka yupo katika ban ya mwaka mmoja kwa kutumia madawa yasiyoruhusiwa michezoni ambayo aliyatumia huko Kenya wakati wa challenge cup, Na hii ndiyo sababu Mtibwa Sugar waliacha kumtumia tokea February mwaka huu. Hii kusema anaumwa magoti ni fix na Yanga wameingizwa chaka itawabidi kusubiri hadi mwakani ndio waweze kumtumia.
KUMBE HAUMWI!! RUNGU LA CAF LAMUWEKA BANKA WA YANGA NJE MPAKA SASA - SALEH JEMBE
KUMBE HAUMWI!! RUNGU LA CAF LAMUWEKA BANKA WA YANGA NJE MPAKA SASA - SALEH JEMBE