Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 316
Mimi sio mwenyeji wa hili jukwaa, lakini napitapita mara kwa mara angalau kusoma mada.
Juzi w/end nilikuwa kwenye kasherehe na vijana wenzangu kutoka mataifa mbalimbali ya Africa (sana Zimbabwe). Mazungumzo yalielekea upande wa ukabili uliopo Zimbabwe - hasa hao Washona na Wandebele. Katika kundi letu kulikuwa na binti mmoja wa ki-asia anaye-mdate mwanaume wa kindebele. Kwa maoni yake, wasichana wa Kizimbabwe hawampendi kwa vile wanaona anachukua mtu wao. Msichana mmoja (mzuri tu) wa kizimbwabwe akasema kuwa wasichana wa kiafrica hawapendi wanaume wa kiafrika wakichukua mataifa mengine. Hii ni sababu ni ngumu kwao (wasichana) kupata mwanaume wa taifa lingine hasa wazungu.
Hii pointi ilinishangaza sana na nimeona niulize hapa kama ina ukweli wowote. Msichana huyu alisisitiza point na kusema hii ni zaidi kwa wasichana walio na very dark skin. Je ni kweli? Je tunahitaji kubadilisha mind-set zetu?